Swahili   |   English
Picha za Albamu
Album:           MKUTANO MAWAKILI DODOMA

Description: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa ameagiza Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuongeza wigo wa utoaji elimu kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia ili kuyafikia makundi mbalimbali katika jamii. Mhe. Majaliwa ametoa agizo hilo leo Machi 21, 2024 alipotembelea banda la RITA wakati wa Mkutano wa Chama cha Mawakili wa Serikali unaofanyika Jijini Dodoma.

Album Pictures