RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
December
10
2018
KIKAO NA WADAU WA MAENDELEO
News Update
Dar es Salaam



`
KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU WA RITA AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA NCHINI. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Bi.Emmy Hudson leo alikutana na Balozi wa Italia nchini, Bw.Roberto Mengoni katika kikao kilichofanyika katika ofisi za Wakala makao Makuu jijini Dar es Salaam. Lengo la kikao hicho ilikuwa ni kujadili maeneo nchi ya Italia itakayosaidia katika kuboresha usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu hasa Vizazi na Vifo. Kikao hicho kilihudhuriwa na Wajumbe wa Menejimenti ya RITA na Wataalamu wa masuala ya Usajili na Takwimu kutoka nchini Italia.
View Full Page