RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
April
23
2019
UHAKIKI WA VYETI
News Update
Dar es Salaam



`
Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu wa Wakala wa Usajili ufilisi na Udhamini (RITA) Bi. Emmy Hudson akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu kuanza kwa utaratibu wa kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo kwa waombaji wa mikopo elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2019/2020. Taarifa hiyo imetolewa leo hii katika Ofisi za RITA makao makuu Dar Es Salaam.
View Full Page