RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
13
2019
SHERIA YA UFILISI
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe, Dkt Balozi Augustine Mahiga amepokea ripoti ya mapendekezo ya sheria yaliyowasilishwa na Tume ya Kurekebisha Sheria chini ya mwenyekiti wake Mhe, Jaji mstaafu Januari Msofe hii leo Jijini Dodoma.
View Full Page