RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
November
28
2019
USAJILI WATOTO MOROGORO- PWANI
News Update
Dar es Salaam



`
Mikoa ya Morogoro na Pwani inatarajiwa kutekeleza Mpango wa usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano katika mkakati wa Kitaifa utakaoanza mwanzoni mwa mwezi desemba mwaka huu. Hayo yamebainishwa katika kikao cha siku moja kilichofanyika jana Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani na leo Manispaa ya Morogoro kwa lengo la kuwajengea uwezo na uelewa viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa kabla ya utekelezaji wa mpango huo.
View Full Page