RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
April
22
2020
TAHADHARI KUHUSU CORONA
News Update
Dar es Salaam



`
Uongozi wa RITA unapenda kuwakumbusha wananchi kuzingatia maelekezo ya Serikali na Wataalamu wa afya kuhusu kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona (COVID 19) ikiwa ni pamoja na kuvaa BARAKOA wanapofika kupata huduma katika ofisi za Wakala nchi nzima.
View Full Page