RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
August
08
2022
MAONESHO YA NANENANE
News Update
Dar es Salaam



`
RITA yashiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya wakulima(Nanenane) yaliyofanyika leo hii kitaifa mkoani Mbeya katika viwanja vya John Mwakangale. -Katika maadhimisho hayo Wakala umetoa huduma ya kusajili na kutoa cheti cha kuzaliwa, msaada wa kisheria kuhusu Wosia na Mirathi pamoja na elimu kwa umma kuhusu Ndoa, Talaka, Ufilisi na Udhamini. Kauli mbiu katika sherehe hizo ilikuwa ni "Kilimo ni biashara, shiriki kuhesabiwa kwa mipango bora ya kilimo, mifugo na uvuvi", ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mheshimiwa Rais wa Serikali awamu ya tano, Samia Suluhu Hassan.