RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
03
2016
Elimu ya Wosia na Mirathi
News Update
Dar es Salaam



`
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe Fadhili Nkurlu akiwahutubia Wananchi wakati wa ufunguzi wa kampeni ya utoaji elimu na huduma ya kuandika na kutunza Wosia iliyofunguliwa wiki hii Jijini Arusha, kushoto kwake ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Daniel Machunda na kulia ni Afisa Usajili wa RITA, Bw August Mbuya.
View Full Page