Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Dkt Harrison Mwakyembe  akipokea taarifa ya mrejesho wa uhakiki na ukaguzi wa Bodi za Wadhamini za Taasisi/Asasi kutoka Ofisi  ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA)  iliyosomwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Bi Emmy Hudson wa kwanza kulia  wakati wa kikao maalum na waandishi wa habari Makao Makuu Jijini Dare es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof Sifuni Mchome.
Kwa habari zaidi ingia ukurasa wa Habari na Makala.