RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
January
28
2017
Siku ya sheria
News Update
Dar es Salaam



`
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe Alli Hassan Mwinyi akiongoza matembezi ya Wiki ya utoaji elimu ya sheria kuadhimisha kuanza mwaka mpya wa Mahakama (siku ya sheria) kutokea Mahakama ya kisutu hadi viwanja vya mnazi Mmoja hii leo tarehe 29/01/2017 Jijini Dar es salaam.
View Full Page