RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
January
31
2017
Makabidhiano ya tuzo
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amekabidhi Tuzo na Hati za Pongezi kwa Viongozi wa Mikoa ya Iringa na Njombe kwa kufaikisha na kutekeleza kikamilifu Mpango wa Usajili na kutoa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto walio na Umri chini ya Miaka Mitano uliozinduliwa katika Mikoa hiyo tarehe 22 Septemba 2016.
View Full Page