Mkoa wa Shinyanga na Geita  huwenda ikafikia malengo kwa asilimia 100% ya usajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano  ndani ya kipindi cha miezi mitatu badala ya miezi sita iliyowekwa katika mikoa yote miwili. 
kwa sasa Watoto wenye vyeti vya kuzaliwa ni asilimia 91%