RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
June
24
2017
SEMINA YA WAHARIRI.
News Update
Dar es Salaam



`
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi akibadilishana mawazo na baadhi ya wahariri wakongwe aliyowahi kufanya nao kazi katika tasnia hiyo miaka ya 1970 wakati wa semina ya kuwajengea uwezo kuhusu Mkakati wa Kitaifa wa Usajili wa matukio muhimu ya binadamu na takwimu iliyofanyika hii leo Mkoani Morogoro.
View Full Page