MIKOA YA LINDI NA MTWARA YAANZA KUANDIKISHA NA KUWAPATIA WATOTO  VYETI VYA KUZALIWA BILA YA MALIPO.
Watoto  wa Mikoa ya Lindi na Mtwara  watanufaika katika huduma ya usajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo ambayo inatolewa kwenye Ofisi za watendaji kata na vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto.