RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
November
16
2017
MAFUNZO KUHUSU MIRATHI
News Update
Dar es Salaam



`
RITA – Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana Zanzibar wafanya mafunzo kuhusu usimamizi wa mirathi, lengo la Mafunzo hayo ni kubadilishana uzoezfu na kukuza ushirikiano uliopo baina ya ofisi hizo hasa ukizingatia mafungamano baina ya Wananchi wa Zanzibar na Tanzania Bara. Pia wamekubaliana kupitisha maazimio kumi na moja (11) katika ushirikiano huo likiwemo lile la kubadilishana uzoefu kila baada ya miezi sita.