Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) Umeanza utekelezaji  wa malipo ya ada ya huduma zake zote kupitia mfumo mpya wa Serikali wa kielekroniki unaojulikana kama Government Electronic Payment Gateway (GePG) unaotumika katika Taasisi  na Idara mbalimbali za Serikali