Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) unategemea kufanya maboresho ya usajili wa vifo mwanzoni mwa mwezi machi mwaka huu ili kuwezesha upatikanaji wa takwimu  sahihi za vifo na sababu zake zitakazosaidia serikali na wadau mbalimbali kuchukua hatua za  kukabiliana na sababu hizo.