RITA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini
MEDIA CENTRE
Album Detail
April
04
2018
USAJILI WATOTO MARA NA SIMIYU
News Update
Dar es Salaam



`
Usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano wazidi kupaa kwa Mikoa ya Mara na Simiyu na kufikia asilimia 80.5 ndani ya kipindi cha wiki tatu (3) tangu kuanza kutekelezwa kwa mpango huo mnamo tarehe 14 Machi 2018.
View Full Page