Swahili   |   English
Dira na Dhima

Dira

Dira ya RITA ni kuwa Chombo cha kuaminika katika utoaji wa taarifa za usailli wa Matukio Muhimu ya Binadamu, Ufilisi na huduma ya Udhamini.

 

Dhima

Dhima ya RITA  ni kulinda haki za wote kwa kutoa huduma bora za Usajili wa Matukio Muhimu, Ufilisi na Udhamini ili kufanya maamuzi sahihi