Serikali imeanza maboresho ya mfumo wa usajili kupitia Mkakati wa Kitaifa wa Usajili wa Matukio Muhimu ya Binadamu na Takwimu unaojulikana kama (CRVS) ambao unalenga kutatua changamoto ya idadi ndogo ya usajili wa matukio ya vizazi,vifo na sababu zake, nd