BEI HUDUMA ZA USAJILI WA UDHAMINI
Taratibu za usajili wa muunganisho ya wadhamini
» Idadi ya wadhamini inatakiwa kuwa kati ya 2- 10
» Ada ya usajili wa bodi ya wadhamini Tshs 200,000/=
- 1. Kubadilisha jina la Taasisi
Wasilisha nakala ya mukhtasari wa kikao uliopita shwa na mkutano halali kwa mujibu wa Katiba na kuridhia mabadiliko ya Jina la Taasisi husika. » Jaza Fomu T1.2 / T1.3
Mahitaji:
Wasilisha cheti cha awali cha kusajiliwa kwa Taasisi
» Lipa Ada ya Uhakiki jina TShs. 50,000/=
» Lipa Ada ya Mabadiliko TShs. 50,000/=
- 2. Mabadiliko ya Wadhamini, Katiba au anuani ya Posta
Kufanya mabadiliko kati ya yaliotajwa hapo juu
Jaza form T1.4/ T1.6/ T1.7
Wasilisha nakala ya mukhtasari ilithibitishwa na mktan halali kwa mujibu wa katiba ulioridhia mabadiliko kati ya yaliotajwa hapo juu
» Ada ya Mabadiliko ya wadhamini TShs 50,000/=
» Ada ya mabadiliko ya katiba Tshs 100,000/=
» Ada ya mabadiliko ya anuani ya posta Tshs 50,000/=
- 3. Kufaili Marejesho ya Wadhamini
» Wasilisha marejesho ya wadhamini kila mwaka
» Jaza Fomu T1.5
» Lipa Ada Tshs 100,000/=
» Penalty/Adhabu kwa kuchelewa kuleta marejesho ya kila mwaka @Trustee per month Tshs 10,000/=
- 4. Upekuzi wa taarifa za wadhamini.
» Wasilisha barua ya maombi ya upekuzi.
» Lipa Ada Tshs. 100,000/=
» Jaza Fomu T1.7
- 5. Kibali cha Kumiliki Ardhi
» Kupata Kibali cha Kumiliki Ardhi (Concent) Tsh. 100,000/=
» Ada ya kibali cha kumiliki mali kwa mali iliobwa zaidi ya mara moja Tshs 60,000/=
- 6. Kuthibitisha Nakala
» Wasilisha maombi.
Ada ya uthibitisho ( kila nakala ) Tsh 60,000/=
“kwa barua/maombi”.
Nakala ya nyaraka yoyote Tshs 100,000/=
» Ada ya kutoa hati mpya 100,000/=