Swahili   |   English
Insolvency fees

BEI HUDUMA ZA USAJILI WA UDHAMINI

Taratibu za usajili wa muunganisho ya wadhamini

»  Idadi ya wadhamini inatakiwa kuwa kati ya 2- 10

» Ada ya usajili wa bodi ya wadhamini Tshs 200,000/-

 

  1. 1.      Kubadilisha jina la Taasisi

Wasilisha nakala ya mukhtasari wa kikao uliopita shwa na mkutano halali kwa mujibu wa Katiba na kuridhia mabadiliko ya Jina la Taasisi husika. » Jaza Fomu T1.2 / T1.3

Mahitaji:

Wasilisha cheti cha awali cha kusajiliwa kwa Taasisi

 »   Lipa Ada ya Uhakiki jina TShs. 50,000/=

 » Lipa Ada ya Mabadiliko TShs. 50,000/=

  1. 2.      Mabadiliko ya Wadhamini, Katiba au anuani ya Posta

Kufanya mabadiliko kati ya yaliotajwa hapo juu

Jaza form T1.4/ T1.6/ T1.7

Wasilisha nakala ya mukhtasari ilithibitishwa na mktan halali kwa mujibu wa katiba ulioridhia mabadiliko kati ya  yaliotajwa hapo juu

» Ada ya Mabadiliko ya wadhamini TShs 50,000/=

» Ada ya mabadiliko ya katiba Tshs 100,000/=

» Ada ya mabadiliko ya anuani ya posta Tshs 50,000/=

  1. 3.      Kufaili Marejesho ya Wadhamini

» Wasilisha marejesho ya wadhamini kila mwaka

» Jaza Fomu T1.5

 » Lipa Ada Tshs 100,000/=

 » Penalty/Adhabu kwa kuchelewa kuleta marejesho ya kila mwaka @Trustee per month Tshs 10,000/=

  1. 4.      Upekuzi wa taarifa za wadhamini.

» Wasilisha barua ya maombi ya upekuzi.

 » Lipa Ada Tshs. 100,000/=

» Jaza Fomu T1.7

  1. 5.      Kibali cha Kumiliki Ardhi

 » Kupata Kibali cha Kumiliki Ardhi (Concent) Tsh. 100,000/=

 » Ada ya kibali cha kumiliki mali kwa mali iliobwa zaidi ya mara moja Tshs 60,000/=

 

  1. 6.      Kuthibitisha Nakala

» Wasilisha maombi.

Ada ya uthibitisho ( kila nakala ) Tsh 60,000/=

“kwa barua/maombi”.

Nakala ya nyaraka yoyote Tshs 100,000/=

» Ada ya kutoa hati mpya 100,000/=