Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Dkt Harrison Mwakyembe amepokea taarifa ya mrejesho wa uhakiki na ukaguzi wa Bodi za Wadhamini za Taasisi/Asasi kutoka Ofisi ya Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) iliyosomwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Bi Emmy