Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
(HELSB) wamesaini hati ya makubaliano ili kurasimisha ushirikiano wa taasisi hizo mbili za
Serikali kwa ajili ya kuwawezesha Waombaji wa Mikopo kupata huduma B