Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof, Sifuni Mchome amewaasa Watumishi wa RITA kufanya kazi kwa bidii na kujituma kwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma kwa kutoa huduma bora yenye tija kwa wananchi ili kwenda sambamba na kasi ya serikali y