RITA inapenda kuutaarifu Umma kwamba kuna taarifa inasambazwa katika mitandao ya kijamii ikitoa taarifa potofu kuhusu zoezi linaloendelea la uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vifo kwa wanafunzi wanaoomba mikopo ya masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2017/2018