Jamii imetakiwa kupinga vitendo vya unyanyasaji kwa wanawake na kuungana pamoja na serikali na Dunia kwa pamoja katika kupiga vita vitendo hivyo ambavyo ni unyanyasaji wa kijinsia na athari za kiafya, kutopewa haki sawa wakati wa kutoa maamuzi, na kutos