Swahili   |   English
Image caption.
Image subcaption.
Picha za Albamu
Album:           KIKAO KAZI

Description: KIKAO KAZI. Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini(RITA) umeandaa kikao kazi ili kujadili kuhusu masuala ya Kuasili watoto pamoja na kuhuisha mabaraza ya usuluhishi wa Ndoa. Kikao hicho kilichofanyika leo hii katika ofisi za RITA makao makuu jijini Dar es Salaam, kilihudhuriwa na wawakilishi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Album Pictures