Kuasili watoto ni mchakato wa kisheria ambao huhamisha uwajibikaji wa mzazi kutoka kwa wazazi wa kuzaliwa kwa mtoto kwenda kwa wazazi wao wa kuwalea.
Usajili wa kuasili watoto unasimamiwa na�Sheria ya Kuasili Watoto (Sura ya 335 toleo la 2002).
Taratibu za kupata Cheti cha Kuasili.
>>> MASWALI MBALI MBALI YANAULIZWA KUHUSU KUASILI