Swahili   |   English
Vision and Mission

Vision

RITA's vision is to become the most efficient and effective Registration, Insolvency and Trusteeship service provider.

Mission

RITA's mission is to ensure justice through provision of effective and efficient management of information on key life events, Insolvency and Trusteeship services so as to contribute to the National development.

Recent Photo Gallery
09 September, 2021MAFUNZO KWA VIONGOZI

MKUU WA WILAYA YA KIBAHA AIPONGEZA RITA KWA KUTOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA SERIKALI NA VIONGOZI WA DINI. -Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Sarah Msafiri ametoa pongezi kwa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini(RITA) kwa kutoa mafunzo kuhusu masuala ya Mirathi, Wosia, Ufilisi, Udhamini, Ndoa na Talaka kwa viongozi wa Serikali katika ngazi ya Tarafa, Kata,Mtaa,Kijiji pamoja na viongozi wa dini na kusema kuwa mafunzo hayo ni fursa yao ya pekee ili kuweza kuwa mabalozi katika kuelimisha jamii inayowazunguka na kuweza kutatua migogoro inayohusiana hasa na masuala ya Mirathi, wosia, ndoa na talaka. -Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Ulinzi na Haki za Kisheria kutoka RITA, Bi, Lina Msanga amesema kuwa kutokana na kuwepo kwa migogoro mingi inayojitokeza katika jamii kuhusu upatikanaji wa haki katika masuala ya mirathi, wosia, ndoa na talaka ambapo moja ya sababu kubwa ni jamii hiyo kutokufahamu sheria inavyosema ili kupata haki. "Asilimia kubwa ya watu katika jamii yetu hawafahamu vizuri namna sheria inavyosema ili kupata haki zao katika masuala ya mirathi, wosia, ndoa na talaka na kwasababu hiyo, RITA ikaona ni vyema kuandaa mafunzo haya kwa viongozi wa Serikali kuanzia ngazi ya Tarafa,Kata,Mtaa na Kijiji pamoja na kwa viongozi wa dini kwakuwa wao wapo karibu zaidi za jamii zao hivyo itakuwa rahisi kutoa elimu watakayoipata hapa na kuweza kutatua migogoro hiyo" alisema bi. Lina katika mafunzo ya siku mbili ya viongozi hao yanayofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Halmashauri Mji wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani.