Mpaka sasa jumla ya watoto 479,146 wamesajiliwa na kupewa vyeti vya kuzaliwa ambapo kati ya hao watoto 230151 wamesajiliwa katika Mkoa wa Shinyanga ambao ni sawa na asilimia 71 ya lengo na Mkoa wa Geita 249,000 ambao ni asilimia 60 ya watoto wote wasio na