Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kushirikiana na Wadau wa Maendeleo Bloomberg’s Data for Health Initiative wamekutana hii leo Mjini Bagamoyo Mkoani Pwani kwa lengo la kujadili na kupitia mifumo mbalimbali ya kisheria inayosimamia masual