Swahili   |   English
Image caption.
Image subcaption.
Albamu ya Picha


USAJILI WATOTO RUKWA KATAVI
[ View Pictures..... ]

RITA-BODI YA BIKOPO
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WAJANE MKOANI KAGERA

WANANCHI MKOANI KAGERA WAMETAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUMALIZA MIGOGORO YA MIRATHI Kukosekana kwa uadilifu na mila potofu katika jamii kumechangia kuongezeka kwa matukio ya wajane kuporwa mali, kunyanyaswa, kuteswa na baadhi yao kupoteza maisha na kusababisha watoto walioachwa na marehemu kukosa malezi bora na hivyo kuamua kukimbia mitaani na kuwa omba omba. Hayo yameelezwa hii leo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Meja Jenerali Charles Mbuge wakati wa mafunzo maalum yaliyokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya wajane Duniani kwa lengo la kuwajengea uwezo Makatibu Tawala wa Wilaya na Maafisa Tarafa wa Mikoa ya Kigoma na Kagera kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia, usimamizi wa mirathi pamoja na huduma nyingine zinazotolewa na RITA. Kwa upande wa maadhimisho ya siku ya wajane yaliyofanyika kimkoa katika viwanja vya Uhuru Platform Katibu Tawala wa Mkoa huo Prof.Faustin Kamuzora akiwasilisha hotuba kwa niaba ya Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaagiza viongozi kupitia ngazi zote kuhakikisha wanatafuta ufumbuzi wa haraka kuhusu kuongezeka kwa migogoro ya mirathi inayosababishwa kwa makusudi na baadhi ya wanandugu kwa makusudi. "Nawaagiza viongozi wa Mkoa kuanzia vitongoji, Vijiji,Kata na Wilaya kushughulikia na kumaliza migogoro ya mirathi inayosababishwa na ndugu wa marehemu wenye nia mbaya na kukosa huruma na hivyo kuwasababishia wajane na watoto kuishi kwa kutangatanga kwa kukosa msaada wa huduma mbalimbali zikiwemo malazi, chakula, mavazi na watoto kuacha shule".Alisema Prof. Kamuzora Naye mwakilishi wa Wajane Mkoa wa Kagera, Bi.Winifrida James Rwezaula alisema kupitia risala yake kuwa wajane wengi wanakosa ushirikiano mzuri kutoka katika vyombo mbalimbali vya maamuzi kuanzia ngazi za chini kabisa za serikali na hiyo ni kutokana na kwamba kundi hilo la wajane kutokutiliwa mkazo stahiki. Bi.Winfrida ametoa ombi kwa serikali kutambua rasmi kuwepo kwa wajane katika jamii ya watanzania na kuandaa mikakati ya kuwahusisha katika kila ngazi ya maamuzi kuanzia serikali ya kijiji, mtaa hadi serikali kuu. Kwa upande wake Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Emmy Hudson amesema kuwa RITA ilianzisha huduma ya kuandika na kutunza wosia hasa baada ya kuona mashauri ya mirathi yanaongezeka kwa kasi na kuchukua muda mrefu kukamilika na warithi kuchelewa kupata haki zao. Bi Hudson ameongeza kuwa Wajane ni wadau muhimu kutokana na huduma mbalimbali zinazotolewa na RITA kuwagusa moja kwa moja katika maisha yao ya kila siku, kama vile kusajili na kupata vyeti vya kuzaliwa na vifo pamoja na huduma za usimamizi wa mirathi. ‘’Pia nichukue nafasi hii kutoa wito kwa jamii kuacha kuogopa kwa kuamini mila potofu kwamba kuandika Wosia ni uchuro, imani hiyo si kweli kwani mpaka sasa tumeandika na kutunza wosia 790 kati ya hizo zilizochukuliwa ni wosia 50 na kusimamia mashauri ya mirathi 112.’’Alisema Bi Hudson. Katika maadhimisho ya mwaka huu RITA inashiriki kwenye Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam na Mkoani Kagera kwa kutoa elimu na msaada wa kisheria bure kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia na usimamizi wa mirathi.
[ View Pictures..... ]

HAKI MIRATHI WILAYA YA TEMEKE
[ View Pictures..... ]

RITA /BODI YA MIKOPO
[ View Pictures..... ]

ARUSHA MANYARA U5BRI
[ View Pictures..... ]

Usajili wa vifo Mkoa wa Mbeya
[ View Pictures..... ]

TAARIFA KWA KAMATI YA BUNGE
[ View Pictures..... ]

Warsha ya Viongozi wa Dini
[ View Pictures..... ]

Siku ya Wanawake Duniani 2021
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO YA USAJILI MWANZA
[ View Pictures..... ]

Kamati ya Katiba na Sheria

Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria imetoa wito kwa wananchi kuandika na kuhifadhi wosia katika Taasisi ya RITA ili kuepuka migogoro ndani ya familia inayosababishwa na ndugu kulazimisha kurithi mali za marehemu kinyume na taratibu na Sheria zinazosimamia masuala ya mirathi. Akizungumza hii leo katika kikao cha kamati Jijini Dodoma Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Mohamed Mchengerwa amewahimiza Wabunge wote ambao bado hawajaandika Wosia kufanya hivyo ikiwa kama sehemu ya kuwahamasisha wananchi wao kuchukua hatua mapema na kulifanya jambo hilo kuwa ni kipaumbele hasa ukizingatia migogoro na kesi nyingi zinazohusu mirathi zinatokea katika majimbo yao. "kwa kiasi kibubwa migogoro mingi hutokea na ukifuatilia chanzo chake unabaini kinasababishwa na kutoachwa muongozo unaotoa maelekezo kuhusu mgawanyo wa mali za marehemu".Alisema Mhe. Mchengerwa.
[ View Pictures..... ]

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA
[ View Pictures..... ]

MHE. WAZIRI ATEMBELEA RITA
[ View Pictures..... ]

KAMPENI WILAYA YA ARUSHA MJINI
[ View Pictures..... ]

ELIMU KWA VIONGOZI WA DINI
[ View Pictures..... ]

MAPOKEZI YA MAGARI YA WAKALA
[ View Pictures..... ]

WIKI YA MSAADA WA KISHERIA
[ View Pictures..... ]

Mapokezi ya magari ya Wakala
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO KWA VIONGOZI WA DINI
[ View Pictures..... ]

Mkutano na Wadau Jijini Arusha
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
[ View Pictures..... ]

UHUSIANO NA WADAU
[ View Pictures..... ]

ONE STOP JAWABU TEMEKE
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA ONE STOP JAWABU
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA ONE STOP JAWABU
[ View Pictures..... ]

Uzinduzi Kilimanjaro na Tanga
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA KUSAJILI WATOTO
[ View Pictures..... ]

MAONESHO YA NANENANE
[ View Pictures..... ]

U5BRI KILIMANJARO NA TANGA
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WAJANE DUNIANI

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umetoa elimu kwa wajane kuhusu kuandika na kuhifadhi wosia pamoja na msaada wa kisheria kuhusu suala la usimamizi wa mirathi. Akizungumza na Wajane hii leo jijini Dar es salaam katika semina maalum ya siku moja, Kaimu Kabidhi Wasii Mkuu Bi Emmy K. Hudson amewataka wajane kutokata tamaa kutokana na migogoro ya kugombania Mali zinazoachwa na waume zao kutoka kwa ndugu wa marehemu badala yake watulie na kufuata taratibu za kisheria ili kumaliza matatizo yanayowakabili, " najua mnanyanyasika, mnateseka lakini niwahakikishie kwamba RITA ni Taasisi ya Serikali ipo itawasaidia ili haki itendeke na muweze kurudi katika hali zenu za kawaida za uzalishaji mali na kulijenga Taifa badala ya kuendelea kuishi kwa majonzi na kukata tamaa."Alisema Bi Hudson. Siku ya wajane duniani huadhimishwa kila inapofika tarehe 23 Juni ambapo nchini Tanzania kitaifa maadhimisho hayo yalifanyika mkoani Dodoma na mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Mhe.Ummy Mwalimu.
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WAJANE DUNIANI
[ View Pictures..... ]

E-Huduma
[ View Pictures..... ]

TAHADHARI KUHUSU CORONA
[ View Pictures..... ]

WOSIA
[ View Pictures..... ]

RITA YAKABIDHI MALI MBEYA CLUB

Ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu (RITA) imekabidhi rasmi Mali za Mbeya Club kwa ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kuzisimamia na kuziendesha. Makabidhiano yamefanyika Mkoani Mbeya kwa kusaini Mkataba wa Makabidhiano wa mali kati ya Ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu ikiwakilishwa na Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Emmy Hudson na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyowakilishwa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa Dr. Salum Manyata. RITA ilikabidhiwa mali za Mbeya Club kama Mdhamini wa Umma baada ya kufungua shauri Mahakama Kuu kuomba kuzisimamia mali za iliyokuwa Mbeya Club kutokana na Bodi yake ya Wadhamini kutowasilisha marejesho ya kila mwaka na hivyo kutokuwa hai kwa zaidi ya miaka 35 na hivyo kukosa uhalali wa kisheria wa kuendelea kusimamia mali za Taasisi hiyo. Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Mbeya iliridhia ombi hilo kupitia Hukumu iliyotolewa na Mheshimiwa Jaji Dustan Ndunguru ya tarehe 26 Juni 2019 na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kupewa usimamizi wa mali za taasisi hiyo kama Mdhamini wa Umma (Public Trustee).
[ View Pictures..... ]

RITA YAKABIDHIWA MALI YA ITOA
[ View Pictures..... ]

RITA TO REGISTER STUDENTS
[ View Pictures..... ]

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2020
[ View Pictures..... ]

U5BRI MKOA WA RUVUMA, 2020
[ View Pictures..... ]

MAKUBALIANO- UHAMIAJI NA RITA
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI U5BRI MOROGORO/ PWANI
[ View Pictures..... ]

USAJILI WATOTO MOROGORO- PWANI
[ View Pictures..... ]

RITA-POSTA MKATABA
[ View Pictures..... ]

MAADHIMISHO YA FIMBO NYEUPE
[ View Pictures..... ]

ZIARA UBALOZI WA MAREKANI
[ View Pictures..... ]

RITA YATOA MSAADA KWA JAMII
[ View Pictures..... ]

CRVS DAY 2019
[ View Pictures..... ]

SHERIA YA UFILISI
[ View Pictures..... ]

TANGAZO LA UHAKIKI 2019/2020
[ View Pictures..... ]

TANGAZO LA UHAKIKI
[ View Pictures..... ]

UHAKIKI WA VYETI
[ View Pictures..... ]

USAJILI WATOTO DODOMA SINGIDA
[ View Pictures..... ]

U5BRI DODOMA NA SINGIDA
[ View Pictures..... ]

KIKAO NA WADAU WA MAENDELEO
[ View Pictures..... ]

TUZO TAARIFA BORA ZA KIFEDHA
[ View Pictures..... ]

KIKAO CHA TATHMINI IRINGA
[ View Pictures..... ]

USAJILI WA WANAFUNZI SONGEA
[ View Pictures..... ]

WIZARA YAFURAHISHWA NA BODI
[ View Pictures..... ]

USAJILI SINGIDA (5-17 BRI)
[ View Pictures..... ]

MKOA WA KAGERA NA KIGOMA
[ View Pictures..... ]

KIKAO NA WADAU
[ View Pictures..... ]

Wanasheria wa Serikali
[ View Pictures..... ]

CRVS DAY
[ View Pictures..... ]

SIKU YA CRVS AFRIKA
[ View Pictures..... ]

TATHIMINI MARA NA SIMIYU
[ View Pictures..... ]

UHAKIKI WA WANAFUNZI
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI WA BRS4G DODOMA
[ View Pictures..... ]

TANGAZO LA UHAKIKI WA VYETI
[ View Pictures..... ]

RITA - BODI YA MIKOPO
[ View Pictures..... ]

TANGAZO KWA WAHITIMU WOTE
[ View Pictures..... ]

RITA - BENKI YA DUNIA
[ View Pictures..... ]

USAJILI WATOTO MARA NA SIMIYU
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI U5BRI MARA NA SIMIYU
[ View Pictures..... ]

USAJILI MKOA WA MARA NA SIMIYU
[ View Pictures..... ]

MABORESHO USAJILI WA VIFO
[ View Pictures..... ]

WIKI YA SHERIA 2018
[ View Pictures..... ]

MALIPO NJIA YA KIELEKRONIKI
[ View Pictures..... ]

TANGAZO LA KIFO
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO KUHUSU MIRATHI
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI U5BRI LINDI NA MTWARA
[ View Pictures..... ]

Lindi na Mtwara wapokea U5BRI
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA MHE,WAZIRI WA KATIBA
[ View Pictures..... ]

BRS4G MKOA WA DAR ES SALAAM
[ View Pictures..... ]

UHAKIKI WA VYETI
[ View Pictures..... ]

SEMINA YA WAHARIRI.
[ View Pictures..... ]

RITA- Mrajis Zanzibar.
[ View Pictures..... ]

Mkutano wa Wadau kuhusu CRVS
[ View Pictures..... ]

USAJILI MKOA WA SHINYANGA
[ View Pictures..... ]

Usajili Geita Shinyanga
[ View Pictures..... ]

TANZIA
[ View Pictures..... ]

USAJILI GEITA NA SHINYANGA
[ View Pictures..... ]

Usajili Wanafunzi Temeke
[ View Pictures..... ]

Makabidhiano ya tuzo
[ View Pictures..... ]

Siku ya sheria
[ View Pictures..... ]

RITA YAVUKA MALENGO YA USAJILI
[ View Pictures..... ]

MAFUNZO VIFAA TIBA.
[ View Pictures..... ]

Wadau wa Masuala ya Usajili
[ View Pictures..... ]

Uzinduzi Usajili wa Watoto
[ View Pictures..... ]

U5BRI MKOA WA IRINGA NA NJOMBE
[ View Pictures..... ]

RIPOTI UHAKIKI ASASI ZA KIRAIA
[ View Pictures..... ]

Mhe Waziri Dkt Mwakyembe
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA WOSIA MBEYA

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbeya Bi Quip Mbeyela ambaye ni Mgeni rasmi akiwahutubia Wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni ya utoaji elimu na huduma ya msaada wa kisheria bure kuhusu kuandika na kuhifadhi Wosia na mambo ya Mirathi hii leo katika viwanja vya stendi ya Kabwe Jijini Mbeya kulia kwake ni Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Jiji la mbeya Bw Vicent Msolla na wengine ni Mawakili wa serikali kutoka RITA Makao Makuu. RITA inaendelea na kampeni kama hizi katika Wilaya mbalimbali nchi nzima kuhakikisha wananchi wanafahamu umuhimu wa kuandika na kuhifadhi Wosia na kushughulikia mambo ya mirathi ambapo eneo hilo limeonekana kuwa na migogoro mingi inayopelekea familia nyingi kukosa haki ya kurithi mali alizoziacha Marehemu na hivyo kusababisha Watoto kuacha shule na kukimbilia mitaani pamoja na Wajane kuanza maisha mapya ya umasikini na majuto.
[ View Pictures..... ]

MIAKA KUMI KUANZISHWA KWA RITA
[ View Pictures..... ]

UPIMAJI VVU NA MAGONJWA SUGU
[ View Pictures..... ]

KAMPENI YA USAJILI - CHATO
[ View Pictures..... ]

Elimu ya Wosia na Mirathi
[ View Pictures..... ]

Baraza la Wafanyakazi 2016
[ View Pictures..... ]

WANANCHI WAKIPATA HUDUMA

Wananchi wametakiwa kufuatilia vyeti vya kuzaliwa vya Watoto wao ndani ya siku 90 mara baada ya Mtoto kuzaliwa ili kuepukana na msongamano unaosababishwa na uharaka wa cheti hicho pindi kinapohitajika sehemu mbalimbali za huduma za kijamii ikiwemo bima ya afya na Mamlaka za ajira. Kwa upande wa watu wazima na vijana ambao hawana vyeti vya kuzaliwa ni vizuri kuanza mapemba taratibu za maombi ya usajili na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa kabla havijahitajika kwa matumizi mbalimbali. Ni kawaida kila mwaka kuwa na kundi kubwa la vijana kutoka vyuo mbalimbali na shule za sekondari wanaohitaji kujiunga na masomo au kuomba ajira na hivyo kukosa nyaraka hiyo muhimu na kusababisha wengi wao kuhitaji kwa haraka hali inayosababisha msongamano katika ofisi za RITA kote Nchini ikiwemo Makao Makuu Jijini Dar es salaa.
[ View Pictures..... ]

Wizara na Taasisi za Serikali.
[ View Pictures..... ]

Kikao cha Kamati ya CRVS
[ View Pictures..... ]

Kampeni wilaya ya Arusha
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA KATIBU MKUU- RITA
[ View Pictures..... ]

Ziara.
[ View Pictures..... ]

Cheti cha kuzaliwa ni Haki
[ View Pictures..... ]

Uzinduzi wa Bodi Mpya
[ View Pictures..... ]

SALAMU ZA PONGEZI
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

CRVS STRATEGY
[ View Pictures..... ]

Tathimini ya Usajili Mwanza
[ View Pictures..... ]

Tathimini ya Usajili Mwanza
[ View Pictures..... ]

Tathimini ya Usajili Mwanza
[ View Pictures..... ]

Tathimini ya Usajili Mwanza
[ View Pictures..... ]

Mkutano na waandishi wa HabarI
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
[ View Pictures..... ]

Wiki Utumishi wa Umma 2015
Error converting image (create thumbnail). The file "/home/robixoz/public_html/files/album/uploader2.gif" is invalid.
[ View Pictures..... ]

U5BRI
[ View Pictures..... ]

MEI MOSI 2015
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

VICOBA
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Maadhimisho siku ya Wanawake
[ View Pictures..... ]

Siku ya Wanawake Duniani
[ View Pictures..... ]

6-18 BRI Kinondoni Municipal
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

RITA AWAY DAY 2015
[ View Pictures..... ]

Menejimenti ya RITA
[ View Pictures..... ]

Katibu Mkuu
[ View Pictures..... ]

UFUNGUZI WA MAFUNZO BAGAMOYO
[ View Pictures..... ]

ZIARA YA MAFUNZO
[ View Pictures..... ]

UZINDUZI WA 6-18 (BRI)
[ View Pictures..... ]