Swahili   |   English
Ufilisishaji wa Kampuni
  • Pande zinazotaka zitawakilisha maombi mahakamani ya kutaka kupata amri ya kufilisi kampuni chini ya Sheria ya Makampuni, sura ya 212 na Kanuni za Kufilisi Makampuni.
  • Mahakama itamteua Mpokeaji Rasmi (Kabidhi Wasili Mkuu) Mfilisi.
  • Mpokeaji Rasmi ataendelea chini ya Sheria ya Makampuni na Kanuni za ufilisi kutekeleza jukumu lake kama Mfilisi Kisheria.